Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Mkuu nimeona umenipa like.Acha wivu wa kike
kijana naandika nikiwa na miaka 34 so huniambii kitu nimefanya tu comparison ya saut hizo mbili nikajua sauti zilifanana sanaKwa wewe mdogo saana hujamskia Aslay akiwa mdogo au baba hakukunulieni TV!
Naunga mkono hoja.
Humu Vumilia alitisha sanaAlikuwa ni copy kabisa ya sauti ya Vumi
Ila Vumi alikuwa anaimba sana yule dada sijui nini kilimkuta mpaka akaishia kuwa average artist
Ndio ile uta nikumbuka kwa mema niliyo kufanyia, japo hutambui umuhimu wangu.Utani kumbuka one of the best song ever from Vumi
Sio poa 🔥🔥🔥🔥Ndio ile uta nikumbuka kwa mema niliyo kufanyia, japo hutambui umuhimu wangu.
oyaa dude lile 🔥🔥