Kumbe ATM huwa zinakosea?

Kesho tutakupeleka milembe
 
Imetoa zako kwa jinsi ulivyoomba kwa hiyo kula pole pole ni hela yako labda utwambie hukuwa na kiasi hicho ndani
 
ATM huwa zinakosea ni kweli. Ila kwa kiwango hicho ulichosema sina uhakika.
Binafsi nimewahi kuzidishiwa kiasi cha elfu 70 kutoka kwenye akaunti ya NMB. Ila waliikata mwezi uliofuata baada ya pesa kuingia.
Niliomba Bank statement na kukuta wameniandikia wrong Credited,wakachukua mpunga wao.

Kuna haja ya kuhesabu pesa ukitoka ATM, kama wanaweza kuongeza hata kupunguza inawezekana.
 
Nimewahi kutoa 500k, 600k...lkn kwa hii ya m point 1 nmeshangaa sana
 
Atakujaje kiongozi umevunja card
 
Hahahaaa hapo umetufunga kudu mkuu 1100,000 kwa mara moja, ngoja nilale kuanza nikiamka nifikirie tena kama inaingia akilini
 
Mkuu benki gani na mm nipitie asee
 
Jamaa upo vzur kuchangamsha jamvi
Magufuli Time hata ATM zinatamn u deposit [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Jamaa upo vzur kuchangamsha jamvi
Magufuli Time hata ATM zinatamn u deposit [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji2] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…