charleslee
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 408
- 200
- Thread starter
- #61
Haters watasema nadanganya, lakini it's fine as long as Nina cash now.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipnyie ndio vinambinambi msiopitwa na jambo.
sio kila jambo lazima ushiriki, yaliyokuzidi waachie wanaoyaweza.
Kesho tutakupeleka milembeNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Kuna papuchi huko? Au unanipeleka bila research...[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kesho tutakupeleka milembe
Sasa nimekuelewa. Kwa her mkuu.Kuna papuchi huko? Au unanipeleka bila research...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Imetoa zako kwa jinsi ulivyoomba kwa hiyo kula pole pole ni hela yako labda utwambie hukuwa na kiasi hicho ndaniNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
kizazi kipya kina mengi sanaBank gani hiyo inatoa milioni 1 kwa mkupuo
Kizazi kipya ndio kipikizazi kipya kina mengi sana
Nimewahi kutoa 500k, 600k...lkn kwa hii ya m point 1 nmeshangaa sanaATM huwa zinakosea ni kweli. Ila kwa kiwango hicho ulichosema sina uhakika.
Binafsi nimewahi kuzidishiwa kiasi cha elfu 70 kutoka kwenye akaunti ya NMB. Ila waliikata mwezi uliofuata baada ya pesa kuingia.
Niliomba Bank statement na kukuta wameniandikia wrong Credited,wakachukua mpunga wao.
Kuna haja ya kuhesabu pesa ukitoka ATM, kama wanaweza kuongeza hata kupunguza inawezekana.
kuz nafany transaction mara nyingi!Mmmh wee jamaa una balaa sana kila wakat ATM inakosea kwako tu
Ukipiga cha Arusha lazima namba zijichanganye!! HahahaaaDuh!basi huenda namie ATM itakosea na kwangu kabla Feb haijaingia[emoji41]
Atakujaje kiongozi umevunja cardNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
Umeona eeh!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio keshavunja mkataba!Atakujaje kiongozi umevunja card
AtmUlienda kwenye ATM au kwa teller ndani?
Mkuu benki gani na mm nipitie aseeNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
[emoji3] [emoji2] [emoji125] [emoji125]Jamaa upo vzur kuchangamsha jamvi
Magufuli Time hata ATM zinatamn u deposit [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]