VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Hata mimi sikujua. Mawazo yote ya wapenda soka nchini yapo kuelekea derby. Hivi vitimu vingine vya kukamia watu wanavipotezeaga tuSikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu!
Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa?Ilikuwa bonge wa game mashujaa wana timu na wanaukuta imara saana
ndio,yule ugali wa sukari alikuwa anahaha apate goli kushindana na aziz ki hakupataSikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu!
Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
Mashujaa wana timu nzuri saana kama sio ile kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza simba angefungwa bila kufika penatiKwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa?