Kumbe Azam amecheza leo?

Kumbe Azam amecheza leo?

Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu!

Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
Hata mimi sikujua. Mawazo yote ya wapenda soka nchini yapo kuelekea derby. Hivi vitimu vingine vya kukamia watu wanavipotezeaga tu
 
Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa?
Mashujaa wana timu nzuri saana kama sio ile kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza simba angefungwa bila kufika penati

Mashujaa wakicheza na timu kubwa huwa wanapaki basi kipindi cha kwanza kipindi cha pili wakuja kucheza kaunta

Mechi ya mashujaa na yanga kipindi cha pili mashujaa waliweza kupishana na yanga na hawakufungwa tano [emoji3][emoji3] kama makolo
 
Back
Top Bottom