Pole Sana na jiongeze Sana.. Ameshakuchoka na hana hisia tena na weweNakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Udhalilishe kiswahili uchumba maana yake ni watu walokubaliana kuoana na hakunaga tendo la uchumbaNakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Kwenye tendo wanawake wanajisahauNakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Uelewi kituUdhalilishe kiswahili uchumba maana yake ni watu walokubaliana kuoana na hakunaga tendo la uchumba
Kama ulifanya tendo la ndoa na uko kwenye uchumba na siyo ndoa maana yake mlikuwa mnafanya zinaa usiseme tendo la ndoa sema NGONO
MLIKUWA MKIPEANA NGONO VYOVYOTE
SASA NDOA SIYO NGONO NI tendo la ndoa
Maana yake ikiwa ndoa haipo vzr hakuna tendo la ndoa hapo tendo la ndoa maana yake muwe wote vzr kindoa
Unashangaa kwa kuwa ulianza na uzinzi
Uchumba ilikuwa ni kampeni mkuu, ndoa ni uchaguzi hivyo vumilia kwa sasa.Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Nani aliekushauri uoe au umuoe huyo mwanamke?Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Nani aliekwambia umuoe huyo mwanamke mwenye mumewe huko nje? Wewe umemuoa km ushahidi tu mumewe anaemsuuza yupo nje huko tena upo mbali jamaa anajipigia tu anavyotakaKuna muda nikikumbuka nilikuwa nakoswa raha ndani ya ndoa yangu, hata usinikumbushe ni heri niko mbali na familia , wakati mwingine nakaa mpaka miezi saba bila kuiona familia yangu, Nikikumbuka niliyokuwa napitia huku nikinyimwa unyumba basi najichukia , ila namshukuru Mungu kwakunipatia kazi hii na mpaka sasa naishi vzr mbali na familia
Kuna muda unahamu yakufanya tendo na mkeo lakini kwa sababu zake binafsi unanyimwa unyumba mpaka asubuhi na bado haumwi , kazi nikukoroma tu kwenye nyumba yako.
Ndio maana unatakiwa kuwa na mchepuko. Ukitoka kazini unapita kwa mchepuko unapunguza mzigo, ukifika home mke akupe asikupe we uko vizuri. Kazi yako inakua ni kukoroma tu mke akitaka ndio akusumbue.Kuna muda unahamu yakufanya tendo na mkeo lakini kwa sababu zake binafsi unanyimwa unyumba mpaka asubuhi na bado haumwi , kazi nikukoroma tu kwenye nyumba yako.
Na mkeo akijua ndo migogoro zaidiNdio maana unatakiwa kuwa na mchepuko. Ukitoka kazini unapita kwa mchepuko unapunguza mzigo, ukifika home mke akupe asikupe we uko vizuri. Kazi yako inakua ni kukoroma tu mke akitaka ndio akusumbue.
Haichukui nafasi ya daktari ila inaweza kukupa wazo lililo bora.Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Anaona Sasa kakumiliki JUMLA,huna pa kukimbilia ni mali yake!Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
😥😥Kwa dunia hii yenye magonjwa mengi mbona hatari kwa afya ..Ndio maana unatakiwa kuwa na mchepuko. Ukitoka kazini unapita kwa mchepuko unapunguza mzigo, ukifika home mke akupe asikupe we uko vizuri. Kazi yako inakua ni kukoroma tu mke akitaka ndio akusumbue.
Kwa sasa nalea watoto wangu hata kama sipo nao najitaidi wapate mahitaji yote.Nani aliekwambia umuoe huyo mwanamke mwenye mumewe huko nje? Wewe umemuoa km ushahidi tu mumewe anaemsuuza yupo nje huko tena upo mbali jamaa anajipigia tu anavyotaka