😹😹😹Kuna muda nikikumbuka nilikuwa nakoswa raha ndani ya ndoa yangu, hata usinikumbushe ni heri niko mbali na familia , wakati mwingine nakaa mpaka miezi saba bila kuiona familia yangu, Nikikumbuka niliyokuwa napitia huku nikinyimwa unyumba basi najichukia , ila namshukuru Mungu kwakunipatia kazi hii na mpaka sasa naishi vzr mbali na familia
Kuna muda unahamu yakufanya tendo na mkeo lakini kwa sababu zake binafsi unanyimwa unyumba mpaka asubuhi na bado haumwi , kazi nikukoroma tu kwenye nyumba yako.
Umetisha Sana mkuuNdoa ni gereza. Chagua mfungwa mwenza sahihi.
Poa mwananguUmetisha Sana mkuu
Yaani hupewi ila unasusiwa,ila wanawake ni pasua kichwa sana sasa usikute hapo kuna mtu mwingine anayepewa bila kususiwa na hagharamii chochote ila wewe hujui unajiamini kwa vile uko naye ndani.Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Utachagua wewe sasa ufe kwa magonjwa au ufe kwa stress. Kwani kinga zimewekwa kwa ajili gani?😥😥Kwa dunia hii yenye magonjwa mengi mbona hatari kwa afya ..
Alisema hiyo kauli ni Freddy vunjabei.Ndoa ni madhabau ya migogoro if you need peace of mind don't marry
Baada ya kukataa kumuoa yule DC.Alisema hiyo kauli ni Freddy vunjabei.
MRUDISHE KWAO OA MKE MWINGINE...NDOA SIO GEREZA KWAMBA HUWEZI HAMA...HUYO LENGO LAKE LILIKUWA NI KUITWA MKE TU BASI...NA SIO MAJUKUMU YA MKE...Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Jamaa anamkula sana mkeoKwa sasa nalea watoto wangu hata kama sipo nao najitaidi wapate mahitaji yote.
Yeye achepuke asichepuke hilo ni lake najua naishi nikiishilizia
Mama J hajambo?Humu Tukiongelea faida za michepuko mnatuona wazinzi. Haya Sasa, KIKO WAPI
Umeoa?Udhalilishe kiswahili uchumba maana yake ni watu walokubaliana kuoana na hakunaga tendo la uchumba
Kama ulifanya tendo la ndoa na uko kwenye uchumba na siyo ndoa maana yake mlikuwa mnafanya zinaa usiseme tendo la ndoa sema NGONO
MLIKUWA MKIPEANA NGONO VYOVYOTE
SASA NDOA SIYO NGONO NI tendo la ndoa
Maana yake ikiwa ndoa haipo vzr hakuna tendo la ndoa hapo tendo la ndoa maana yake muwe wote vzr kindoa
Unashangaa kwa kuwa ulianza na uzinzi
UnaonajeUmeoa?
Sijui kwanini watu bado wanahangaika na hilo janga NDOA!Haya mambo ya ndoa ni magumu balaa.. katika jamaa zangu waliooa hakuna asiyelalamika. Sogea tuishi ndo mpango mzima