Mke atakuwa anatatizo,inawezekana huwa anasikia maumivu n.k wakae pamoja watafute suluhisho.Wee Equation x unaona??? kazi kwanza ndoa badae huwezi kosa Kibaka wa kuzoana naye!!
Sasa kosa kazi uone kama utapata hata hizo nguvu za kuwaza wanawake
Cc Smart911
Kawaida anatakiwa apewe mara ngapi?Mh! Kwahiyo ulikuwa unataka upewe kila siku
Mifumo yenu ina changamoto sana
Kama hivyo kwa ratiba ili asiikinai akaanza kula njeKawaida anatakiwa apewe mara ngapi?
Kumnyima ndio anapata akili na nguvu ya kutafuta njeKama hivyo kwa ratiba ili asiikinai akaanza kula nje
Nyie hamna maana unaweza ukapewa kila siku na bado nje ukatamani na ukalaKumnyima ndio anapata akili na nguvu ya kutafuta nje
Michepuko sawa ila sio kichomi kama ule wa kwako. Hiv bado mko nae ?Humu Tukiongelea faida za michepuko mnatuona wazinzi. Haya Sasa, KIKO WAPI
Boresha kwenye mitego mitego ya kutamanishaNyie hamna maana unaweza ukapewa kila siku na bado nje ukatamani na ukala
Ndio uchumbaKwa hiyo uasherati au uzinzi ndiyo uchumba
🤣🤣🤣🤣
Pole yake sana, aweke video vile anavyopimiwa na kususiwa kwa faida ya members...Wee Equation x unaona??? kazi kwanza ndoa badae huwezi kosa Kibaka wa kuzoana naye!!
Sasa kosa kazi uone kama utapata hata hizo nguvu za kuwaza wanawake
Cc Smart911
Pole yake sana, aweke video vile anavyopimiwa na kususiwa kwa faida ya members...
Pole yake sana, aweke video vile anavyopimiwa na kususiwa kwa faida ya members...
Umalaya tuNdio uchumba
Sawa, nikiolewa ntajitahidiBoresha kwenye mitego mitego ya kutamanisha
Njoo nikuoe mimi, ndio muoaji pekee niliyebakia.Sawa, nikiolewa ntajitahidi
Wewe single faza sikutakiNjoo nikuoe mimi, ndio muoaji pekee niliyebakia.