Ulioa wa kilimanjaro.Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Cheka sana lakini omba yasikukute. Kunyimwa unyumba kunatesa sana si kidogo😹😹😹
Nacheka kama mazuri vile.
Pole sana mkuu.Cheka sana lakini omba yasikukute. Kunyimwa unyumba kunatesa sana si kidogo
Eeh mzee aligoma kuoa jokate sijui aliona nn?Baada ya kukataa kumuoa yule DC.
Humu Tukiongelea faida za michepuko mnatuona wazinzi. Haya Sasa, KIKO WAPI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mzee huwa nafurahi sana na stori zako za mama j.Lakini kiukweli michepuko huimarisha ndoa.Humu Tukiongelea faida za michepuko mnatuona wazinzi. Haya Sasa, KIKO WAPI
Ukweli 100%.Maji hufuata mkondo.....mwanaume ndo mkondo wenyewe na mke ndo maji.
Kinyume na apo mwanaume utakuwa umeolewa sasa...
"we are winning this"Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Sorry broo,unatombewa,niamini mimiNakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Bado hujasoma tu alama za nyakati kijana? Mwanzoni huyo mwanamke alikuwa anapambania ndoa, sasa kaipata na ana sehemu anayoita nyumbani kwake hivyo anagawa kwa vijana waliokuwa wanamsumbua ili amalizane nao. Wanawake kwa kweli mambo yao wanayajuwa wenyewe, hapo ukimuacha atalia kama anachinjwa wakati ujinga anajiletea mwenyewe.Nakumbuka kipindi cha uchumba Kati ya mimi na Mke wangu mambo yalikuwa safi kabisa hususani swala zima la tendo, nilipata tendo kila nilipo hitaji na kupewa ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Asa hivi baada ya kuingia kwenye ndoa naona mambo tofauti napewa tendo kwa ratiba maalumu pia nikipewa nakua kama nasusiwa hivi yaani no ushirikiano kama mwanzo.
Baadhi wa wanawake nini kinawabadilisheni na kuwapa kiburi baada ya kuingia ndani ya ndoa?
Hivi mama J yupo jamani?Humu Tukiongelea faida za michepuko mnatuona wazinzi. Haya Sasa, KIKO WAPI