Kumbe balimi ndogo ni nzuri hivi?

Kumbe balimi ndogo ni nzuri hivi?

Muhindi baada ya vyuma kukaza na kushindwa kununua Mkate akasema "hogo tamu shida kate " vyuma vilipolegea akamudu kula mkate akasema "veve kama taka kufa kula hogo"
 
Nakula mlenda sana na ninaupenda vibaya mno na vyuma kwangu havijakaza
Hata Mimi napenda sana kutembea kwa mguu kutoka tegeta mpaka posta. Na vyuma havijakaza

[emoji39] [emoji39] [emoji39]

I missed you though!
 
Back
Top Bottom