Mlenda ni mtamu acha hizo.Ni vyuma ndo vimekaza sana.
Siku sio nyingi utasikia, kumbe mlenda ni mtamu namna hii?
Kula mlenda ni vyuma kukaza hapana jamanNi vyuma ndo vimekaza sana.
Siku sio nyingi utasikia, kumbe mlenda ni mtamu namna hii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kula mlenda ni vyuma kukaza hapana jaman
Nakula mlenda sana na ninaupenda vibaya mno na vyuma kwangu havijakaza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usinambie tayari?
Hata Mimi napenda sana kutembea kwa mguu kutoka tegeta mpaka posta. Na vyuma havijakazaNakula mlenda sana na ninaupenda vibaya mno na vyuma kwangu havijakaza
Balimi ni bia ya Asili inavionjo vyakiafrika ...imepikwa kisasa zaidi.
jaribuni kutofautisha bia na pombe. kuna pombe na biaBalimu bia tamu xana
Watu wacc mnastressjaribuni kutofautisha bia na pombe. kuna pombe na bia
Inauzwaje ndogo? Misjawai kunywa pombe unanishawish nionje... Vp haileweshi?Nilikuwa natumia castle mkuu, ila sema siku hizi imeadimika kwenye groxery za mitaani