kumbe Basi jibya la yanga ni YUTONG!

kumbe Basi jibya la yanga ni YUTONG!

Narudia tena kusema hii kauli. Msipende kuokoteza habari za mitandaoni pasipo kufanya uchunguzi kujua uhalisia wa jambo. Kuna uzi humu mshabiki wa Yanga kaweka picha ya gari aina ya scania ndio Yanga wamenunuliwa. Nikamwambia hiyo picha ni kutoka kampuni hunters ambao wananunua bus jingine jipya kwaajili ya safari ya Mwanza-Dar wakanibishia. Na wewe mtoa mada acha kuchukua taarifa za mitandaoni bila kufatilia. Mtu anafanya graphics design ya bus la Yanga kwenye mitandao kama kujifurahisha tu Wewe unakuja mkuku mkuku kuwa bus la Yanga ni Yutong wakati bus la Yanga ni Tata vile sio scania wala Yutong.
 
Back
Top Bottom