Kumbe biashara ngumu sana

Hahaha Mleta Mada Bado Mtoto Sanaa.

It needs a lot of courage and perseverance kuwa entrepreneur.

Hamnaga hela Rahisi Joh

Sema Ndugu Zangu (Jokes Aside)
Amini nawaambieni Uchawi Upo na Mungu Yupo.
Kama kuna mtu anajua docho la tiba za kienyeji la uhakika tuambiane maana mi mwenyewe kuna wakati si elewi elewi kabisa yani.

Unaweza ukawa in a very potential location, ume make capital yako from other sources (let say udalali) faida uka invest kwenye biz nyingine na umeweka kila kitu ila still biz inakuwa haitoki.

Mimi kwa kweli sipendi unafki lazima ipo siri bana. Please, Mwenye msaada wa dhati tuambiane inbox (PM). Hahahaha (Im Serious)
 
Mkuu samahani kidogo kwenye hiyo Point Namba 4 naweza pata ufafanuzi kidogo.

Nipo kwa buy and sell business, natamani niingie kwa service.
 
Mkuu samahani kidogo kwenye hiyo Point Namba 4 naweza pata ufafanuzi kidogo.

Nipo kwa buy and sell business, natamani niingie kwa service.

Authority hapa maana yake ni vile wateja wanavyokufikiria wewe pamoja na hiyo biashara yako.

Wateja wanashawishika kununua zaidi toka kwa muuzaji wanaedhani anauelewa na pia uzoefu mkubwa kuhusu bidhaa au huduma anazouza.

Hiyo ndiyo psychology ya kuuza hasahasa kipindi hiki cha mabadiliko ya technology.

Mkuu nasema hivi kupitia experience binafsi na si blah blah.

Sasa swali linakuja hapo.

How do you solve this?

Zipo mbinu......nazinafanya kazi kweli.
 
Ahsante nimukuelewa sana Mkuu.
 
MKUU,

HUO MSTARI WA MWISHO HUO NI MPAKA TUKUPE HELA NDIPO UZITAJE AU ND'O WAZEE WA KUITANA PM?
 
Embu achia mbinu za authority
 
Dah hapo mkuu nimekuelewa sana.
Mimi binafsi nikija kuhitaji huduma kwako kwa mara ya Kwanza lazima nikuhoji sana kuhusu huduma unayoitoa.
Ukianza kubabaika babaika tu hutoniona tena kwenye biashara yako.
Na kingine Kuna sehem moja huwa naenda kununua dawa pharmacy karibu na madale kwa diamond.
Ukienda kununua dawa Yule muuzaji sijui ni pharmacist nimeipenda huduma yake.
Cha Kwanza atakuuliza kwa nn umeamua kununua dawa hyo,una ugonjwa gani,ulikuanza lini,baadae atakushaur dawa sahihi ya kununua kwa ajili ya ugonjwa wako.
Na baadae atakuelekeza chanzo Cha ugonjwa wako ni nini,na kitu gani Cha kufanya ili ugonjwa usikurudie tena.
So nilifurahishwa sana na huduma yake jamaa kiasi kwamba natamani niwe naenda kununua pale kila wakat ingawa ni mbali na maeneo ninayoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…