aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Kumbe huyo ndiye Ontario [emoji16]Ontario.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huyo ndiye Ontario [emoji16]Ontario.
Kumbe huyo ndiye Ontario [emoji16]
Tapeli mkuu aka kuu la majambazi jamii forum aka petrol chemist aka mr .FOREX.Ni nani huyo mkuu
Haya bwana [emoji16][emoji3]Tapeli mkuu aka kuu la majambazi jamii forum aka petrol chemist aka mr .FOREX.
Mwite Ontario
Mkuu samahani kidogo kwenye hiyo Point Namba 4 naweza pata ufafanuzi kidogo.Biashara ngumu kwasababu...
1 • haujui kuuza
2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji
3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi
4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.
Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail
Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks
Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.
Wanajutaaa.
Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.
Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.
Simple.
Mkuu samahani kidogo kwenye hiyo Point Namba 4 naweza pata ufafanuzi kidogo.
Nipo kwa buy and sell business, natamani niingie kwa service.
Ahsante nimukuelewa sana Mkuu.Authority hapa maana yake ni vile wateja wanavyokufikiria wewe pamoja na hiyo biashara yako.
Wateja wanashawishika kununua zaidi toka kwa muuzaji wanaedhani anauelewa na pia uzoefu mkubwa kuhusu bidhaa au huduma anazouza.
Hiyo ndiyo psychology ya kuuza hasahasa kipindi hiki cha mabadiliko ya technology.
Mkuu nasema hivi kupitia experience binafsi na si blah blah.
Sasa swali linakuja hapo.
How do you solve this?
Zipo mbinu......nazinafanya kazi kweli.
MKUU,Authority hapa maana yake ni vile wateja wanavyokufikiria wewe pamoja na hiyo biashara yako.
Wateja wanashawishika kununua zaidi toka kwa muuzaji wanaedhani anauelewa na pia uzoefu mkubwa kuhusu bidhaa au huduma anazouza.
Hiyo ndiyo psychology ya kuuza hasahasa kipindi hiki cha mabadiliko ya technology.
Mkuu nasema hivi kupitia experience binafsi na si blah blah.
Sasa swali linakuja hapo.
How do you solve this?
Zipo mbinu......nazinafanya kazi kweli.
Kama hujaacha bado Kumbe unaharibu mwnyw?!nitajitahidi kupunguza bata na mademu
Dah hapo tu ndipo wabongo tunapofeli.....sijui anatuita pm ama wapi twendeMKUU,
HUO MSTARI WA MWISHO HUO NI MPAKA TUKUPE HELA NDIPO UZITAJE AU ND'O WAZEE WA KUITANA PM?
Embu achia mbinu za authorityAuthority hapa maana yake ni vile wateja wanavyokufikiria wewe pamoja na hiyo biashara yako.
Wateja wanashawishika kununua zaidi toka kwa muuzaji wanaedhani anauelewa na pia uzoefu mkubwa kuhusu bidhaa au huduma anazouza.
Hiyo ndiyo psychology ya kuuza hasahasa kipindi hiki cha mabadiliko ya technology.
Mkuu nasema hivi kupitia experience binafsi na si blah blah.
Sasa swali linakuja hapo.
How do you solve this?
Zipo mbinu......nazinafanya kazi kweli.
Embu achia mbinu za authority
Huyo kwenye background ni Ontario?.😂😂😂😂😂Chukua hiyoView attachment 1101335
Komaa mpaka mwaka mmoja ndipo utaona mwelekeo wake.Mkuu mimi mwenyewe Nina biashara nimewekeza pesa yote niliyokua nayo ya akiba maajabu yake siuzi kama nilivyotegemea ila mimi Nina wiki Tatu tu yaaan Nina waswas usioelezeka..
Komaa mpaka mwaka mmoja ndipo utaona mwelekeo wake.
Dah hapo mkuu nimekuelewa sana.Authority hapa maana yake ni vile wateja wanavyokufikiria wewe pamoja na hiyo biashara yako.
Wateja wanashawishika kununua zaidi toka kwa muuzaji wanaedhani anauelewa na pia uzoefu mkubwa kuhusu bidhaa au huduma anazouza.
Hiyo ndiyo psychology ya kuuza hasahasa kipindi hiki cha mabadiliko ya technology.
Mkuu nasema hivi kupitia experience binafsi na si blah blah.
Sasa swali linakuja hapo.
How do you solve this?
Zipo mbinu......nazinafanya kazi kweli.
unafanya biashara gani?Kwa mara ya Akwanza nimejaribu kufanya biashara serious. Aisee yapata mwezi sasa ila sijawahi ona faida.
Nimeamini ukiona mtu amefanikiwa kwenye biashara mheshimu sana.