Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
sawaNdio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaNdio
Kijana nimekuelewa Sana. Hawa watu wanaokataa na Kubisha kuna mawili
1. Watoto wa Mama Sanaa (Hawajawahi face and deal the streets on their own) - Daddy Mommy Type.
2. Hawako familiar with the struggle and what people are capable of doing to make their dreams come TRUE. Wanachukulia kila mtu ni hoya hoya. Na ipo siku watajifunza the hard way. (Sishangai maana niliwahi kuwa kama wao)
So wanadhani biashara ni kuweka tu mpunga and OFF you Go. *KLMY* bado hela hamuijui nyie.
Siku zote katika utafutaji lazima utie ulinzi (ribiti katika anga zako za utafutaji) sio watu wanakuja kutumia anga zako kifala fala na we upo upo tu.
Na siku mkija either kustuka anaye divert upepo wako ndio siku mtakayo zaliwa upya kifikra na kimtazamo juu ya haya maisha.
Talking of being holy, Mimi nimeimba hadi kwaya kanisani ndio maana nikasema Mungu yupo na issue za kienyeji zipo (Hakuna anayetaka kuumiza mtu na hela ya hivyo siitaki). Isipokuwa lazima utumie kitu ili mambo yaende.
...Ebana acheni nyie. In the past 10 years of my grind nimeona mengi sanaa.
Wapo wengi tu wamejaaMkuu ukifanikiwa kupata mtaalamu wa hizo mambo uni shitue aisee
safiMimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?
2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.
3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.
4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.
hapo kwenye kutumia kitu ili mambo yaende...unaweza kufunguka zaidi chief?Kijana nimekuelewa Sana. Hawa watu wanaokataa na Kubisha kuna mawili
1. Watoto wa Mama Sanaa (Hawajawahi face and deal the streets on their own) - Daddy Mommy Type.
2. Hawako familiar with the struggle and what people are capable of doing to make their dreams come TRUE. Wanachukulia kila mtu ni hoya hoya. Na ipo siku watajifunza the hard way. (Sishangai maana niliwahi kuwa kama wao)
So wanadhani biashara ni kuweka tu mpunga and OFF you Go. *KLMY* bado hela hamuijui nyie.
Siku zote katika utafutaji lazima utie ulinzi (ribiti katika anga zako za utafutaji) sio watu wanakuja kutumia anga zako kifala fala na we upo upo tu.
Na siku mkija either kustuka anaye divert upepo wako ndio siku mtakayo zaliwa upya kifikra na kimtazamo juu ya haya maisha.
Talking of being holy, Mimi nimeimba hadi kwaya kanisani ndio maana nikasema Mungu yupo na issue za kienyeji zipo (Hakuna anayetaka kuumiza mtu na hela ya hivyo siitaki). Isipokuwa lazima utumie kitu ili mambo yaende.
...Ebana acheni nyie. In the past 10 years of my grind nimeona mengi sanaa.
Wapo wengi tu wamejaa
Mimi nawajua ila sikwenda kwa sababu ya mambo ya biashara.Hebu nipe data wale walio na ujuzi wa hali ya juu
Ontario aliyepiga pesa za wanaJF kwa Mgongo wa dalali wa forex aliyeko nje ya nchi.Ni nani huyo mkuu
AseeeeehOntario aliyepiga pesa za wanaJF kwa Mgongo wa dalali wa forex aliyeko nje ya nchi.
Wapo wengi tu wamejaa
UNAFANYA BIASHARA GANI NA UNAFANYIA WAPI?
TUANZIE HAPO KWANZA.
HICHO ALICHOKIFANYA HUYO JAMAA NI BONGE LA SERVICE,Dah hapo mkuu nimekuelewa sana.
Mimi binafsi nikija kuhitaji huduma kwako kwa mara ya Kwanza lazima nikuhoji sana kuhusu huduma unayoitoa.
Ukianza kubabaika babaika tu hutoniona tena kwenye biashara yako.
Na kingine Kuna sehem moja huwa naenda kununua dawa pharmacy karibu na madale kwa diamond.
Ukienda kununua dawa Yule muuzaji sijui ni pharmacist nimeipenda huduma yake.
Cha Kwanza atakuuliza kwa nn umeamua kununua dawa hyo,una ugonjwa gani,ulikuanza lini,baadae atakushaur dawa sahihi ya kununua kwa ajili ya ugonjwa wako.
Na baadae atakuelekeza chanzo Cha ugonjwa wako ni nini,na kitu gani Cha kufanya ili ugonjwa usikurudie tena.
So nilifurahishwa sana na huduma yake jamaa kiasi kwamba natamani niwe naenda kununua pale kila wakat ingawa ni mbali na maeneo ninayoishi.
CHUKUA NAMBA 3 KWANZA.Dah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya
2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara
3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.
4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.
MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
Ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe mtu wa nguvu za MUNGU au nguvu za giza .ukifanya biashara bila hivyo utafeli tu.Hahaha Mleta Mada Bado Mtoto Sanaa.
It needs a lot of courage and perseverance kuwa entrepreneur.
Hamnaga hela Rahisi Joh
Sema Ndugu Zangu (Jokes Aside)
Amini nawaambieni Uchawi Upo na Mungu Yupo.
Kama kuna mtu anajua docho la tiba za kienyeji la uhakika tuambiane maana mi mwenyewe kuna wakati si elewi elewi kabisa yani.
Unaweza ukawa in a very potential location, ume make capital yako from other sources (let say udalali) faida uka invest kwenye biz nyingine na umeweka kila kitu ila still biz inakuwa haitoki.
Mimi kwa kweli sipendi unafki lazima ipo siri bana. Please, Mwenye msaada wa dhati tuambiane inbox (PM). Hahahaha (Im Serious)
Hizi ni excuse za walioshindwakwahiyo inamaana wafanyabishara waliofanikiwa wote wanafanya hayo mambo?
Excellent.Mimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?
2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.
3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.
4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.
Am still thinking of it chiefCHUKUA NAMBA 3 KWANZA.
Weka simple advertisement tu, pitia upya bei zako na kagua location ya biashara yako inawezekana magharibi na mashariki kuna watu wamezoeleka kuliko wewe.Pia boresha madhari ya nje, maduka mengi mitaani kwa mfano kwa nje huwa hayaiti wateja.Yani ni mchana lakini utafikiri usiku.Chukulia mfano hata pale ubungo ukipanda basi LA kawaida...unakuwa kama umepoa kwa ndani cuz siti hazivutii, vioo haviingizi mwanga na hewa ya kutosha, lakini yale ya luxury aah unajiskia kama una kadaraja ka uungwana hahaha.Sasa inawezekana biashara yako haionekani(haifanyi wateja wajiskie kadaraja flani, au unazidiwa na washindaniMkuu mimi mwenyewe Nina biashara nimewekeza pesa yote niliyokua nayo ya akiba maajabu yake siuzi kama nilivyotegemea ila mimi Nina wiki Tatu tu yaaan Nina waswas usioelezeka..
Would you kindly please be my mentor in my business?Biashara ngumu kwasababu...
1 • haujui kuuza
2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji
3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi
4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.
Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail
Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks
Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.
Wanajutaaa.
Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.
Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.
Simple.
leta mrejesho mkuunililipa kodi ya miezi mitatu nikaanza biashara,
Mzigo wa kwanza tu nikapewa hovyo, nikala loss, mtaji ukapungua sana,
nikabaki na nusu mtaji, nikafuata mzigo wa pili tena, nao yakawa yale yale, mzigo hovyo, mtaji ukawa unapumulia mashine.
mzigo wa tatu mambo yakawa hovyo zaidi, biashara ipo ICU,
nimebakiza mwezi mmoja na nusu kulipa kodi nyingine ila naona kila dalili ya kushindwa kulipa hata kodi ya pango.
ila yote kwa yote hizo failure zimenipa somo zuri sana. hata kama hii biashara ikifeli nitarudi tena na naamini nitakua THE GREATEST.
MWEZI JUNE nikumbusheni nilete mrejesho.