Kumbe biashara ngumu sana

Mkuu ukifanikiwa kupata mtaalamu wa hizo mambo uni shitue aisee
 
safi
 
hapo kwenye kutumia kitu ili mambo yaende...unaweza kufunguka zaidi chief?
 
HICHO ALICHOKIFANYA HUYO JAMAA NI BONGE LA SERVICE,
HATA MIMI HUWA NAFANYA HIVYO KIJIWENI KWANGU INGAWA AWALI SIKUJUA KUWA WATU WANAPENDA SANA HIYO SERVICE YA KUWAHOJI NA KUWASHAURI.
 
CHUKUA NAMBA 3 KWANZA.
 
Ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe mtu wa nguvu za MUNGU au nguvu za giza .ukifanya biashara bila hivyo utafeli tu.
 
Excellent.
 
Mkuu mimi mwenyewe Nina biashara nimewekeza pesa yote niliyokua nayo ya akiba maajabu yake siuzi kama nilivyotegemea ila mimi Nina wiki Tatu tu yaaan Nina waswas usioelezeka..
Weka simple advertisement tu, pitia upya bei zako na kagua location ya biashara yako inawezekana magharibi na mashariki kuna watu wamezoeleka kuliko wewe.Pia boresha madhari ya nje, maduka mengi mitaani kwa mfano kwa nje huwa hayaiti wateja.Yani ni mchana lakini utafikiri usiku.Chukulia mfano hata pale ubungo ukipanda basi LA kawaida...unakuwa kama umepoa kwa ndani cuz siti hazivutii, vioo haviingizi mwanga na hewa ya kutosha, lakini yale ya luxury aah unajiskia kama una kadaraja ka uungwana hahaha.Sasa inawezekana biashara yako haionekani(haifanyi wateja wajiskie kadaraja flani, au unazidiwa na washindani
 
Would you kindly please be my mentor in my business?
 
leta mrejesho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…