Kumbe biashara ngumu sana

Kumbe biashara ngumu sana

Chukua hiyo
sirjeff_dennis___Bxecz4CBALt___.jpeg
 
Biashara ni nzuri, lakn sio nzuri kwa wakurupukaji.

Halafu Mkuu hasara kwa biashara is part of the game..

Watu wengi tunakosea sana kufunga biashara kwa sabb ya mtiririko wa hasara unazopata unapoanza biashara...

Kila biashara ina timeframe yake ya kupata faida.. Mfano biashara ya vitumbua na biashara ya magari totally differ in timeframe.

Unapoanza biashara yeyote its crucial to determine your timeframe maana inakusaidia kujua unatoka wapi na itakuchukua muda gani kufika unakoelekea. Njia zipi utumie kupunguza umbali wa safari ili ufike haraka..! It boost your persistence.

To keep it Practical, Kaangalie historia ya kampuni ya Amazon ambayo ilitengeza faida yake ya kwanza baada ya miaka zaidi ya mitano ya hasara... Jiulize kwann hawakufunga mwaka wa kwanza au watatu? Basically they knew their timeframe.
 
Biashara ngumu kwasababu...

1 • haujui kuuza

2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji

3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi

4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.

Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail

Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks

Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.

Wanajutaaa.

Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.

Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.

Simple.
 
Back
Top Bottom