Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

Ukiachia zaziba itakua kama Qatar au Dubai au Singapore hapo itatawaliwa tena, itakia nakipato kuipita Tanganyika, jambo ambao wengi wasingelipanda litokee
Mbona Comoros imeshindwa?
 
Wanatuchanganya tu! Wangefanya zanzibar kua free port kama dubai pengine tungekua na nafuu kuliko haya malawama ya muungano! Na nchi nyingi zingetutegemea sana kibiashara

CCM ndio mchawi wa hii nchi
 
Na hiyo taarifa kwamba hizo ndizi walipewa wafungwe wale anaizungumziaje?
 
Ustaajabupo ya Musa hutaacha kuona ya Firauni.
Halafu tunajinasibu uchumi wa buluu na kukua wakati mnawanyanyasa waBiashara za ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…