johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Karamagi na huyo ppp ndio wamemfata ADANI very simpleUnauhakika ni nani kamfuata mwenzake kati ya PPP na ADANI?
ππ
Toa mfano kwenye hii hoja yakoEnzi za Nyerere ubia ulikuwa wa haki pande zote tofauti na ubia unaoingiwa kipindi hiki Cha awamu ya mama Samia ambapo mwekezaji wa nje hunufaika zaidi kuliko Nchi yetu nzuri ya Tanzania.Anataka wajukuu wetu wasikute chochote
Majungu pia ni mtaji wa machawaMzee wa PPP ana justify mshahara
Unaijua ile mijogoo mikubwa, kama ulisoma zile hadithi za abunuasi enzi zile.Hapa nimetoka kapa
Sisi tulikuwepo wakati huo sasa nimsikilize wa nini? π€£Umemsikiliza vizuri Mzee?
Sijui kama hoja yako inaukweli wowoteKaramagi na huyo ppp ndio wamemfata ADANI very simple
Ni Sawa na akina Msukuma walivyomfata DP World ππππ
Yaani ADANI aje ahangaike na kagati kamoja hapo TPA?! πΌπ
ππila wewe Mzee daaahSisi tulikuwepo wakati huo sasa nimsikilize wa nini? π€£
Hii ndio maana nzima ya maneno yanayoishi..Rest easy jabali la maono,
Hii hotuba utadhani ni ya wiki jana
Nahisi,Kuna mambo mengi huyafahamu kuhusu UbiaShida sio PPP shida ni terms za contract zake.
Kingine ni public goods zenye faida kwa uchumi wa taifa (by way of economic access) serikali inataka wengine wawekeze kwa toll charge huko ni kudumuza uchumi
Vinginevyo kwa maelezo ya IGA strategically, offer tuliyopewa na DPW on phase 1 tu ya uwekezaji ilikuwa ni faida kwetu.
Majanga ni kwamba hakuna pilika za uwekezaji wowote wa hilo ghorofa la kuhifadhi magari kuonekana kujengwa. hakuna ushahidi wa ujenzi wa mashua, hakuna ujenzi wa dry port Kurasini, hakuna ushahidi wa ujenzi wa gate ya kutua meli za magari.
Port tushawapa na uwekezaji wenyewe wa phase one ilikuwa $500 million, sio kwamba hakuna walichofanya IΕa na port yenyewe tumewapa kwa miaka 33 majanga.
Salaleh, huyu mama inabidi tumtoe
Aisee huwa napenda sana kumsikiliza huyu MzeeHii ndio maana nzima ya maneno yanayoishi..
moja Ya watu wachache ambae akiwa
Anaongea mtataka aendelee kuongea tu haijaloshi anaongelea jambo
gani
Jikite kwenye International Marketing hii Michezo ni ya Kawaida Sana na ndio sababu Mafuru aliimudu hili ni eneo lake la taalumaSijui kama hoja yako inaukweli wowote
Asante sana ππUnaijua ile mijogoo mikubwa, kama ulisoma zile hadithi za abunuasi enzi zile.
Kuna ile hadithi moja hivi inaishia lile jogoo kubwa "JIMBI" linamkimbiza mbwa.
Mikataba ya PPP sio Siri nasikia hivyoJikite kwenye International Marketing hii Michezo ni ya Kawaida Sana na ndio sababu Mafuru aliimudu hili ni eneo lake la taaluma
Unapoambiwa Mkataba ni Siri maana yake ni kubwa mno ππ
Kama unabisha jifunze kwa Richmond - Dowans- Symbion
πππAsante sana ππ
Umesililiza vizuri hiyo clip?Bakhresa na upemba wapi na wapi?
VIBARAKA WA RAIA FEKI MNASHIDA SANA NA AJENDA ZENU ZA KIFISADI PPP KWA TANZANIA NI UFISADIView attachment 3169359
Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.
Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.
Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.
Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.
Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Ungekuwa unaelewa mambo ya ubia kwa kusoma post yangu ungejua tu ninachoongea.Nahisi,Kuna mambo mengi huyafahamu kuhusu Ubia
Kafulila na team yake ya JF ni watu wakuwapuuza.VIBARAKA WA RAIA FEKI MNASHIDA SANA NA AJENDA ZENU ZA KIFISADI PPP KWA TANZANIA NI UFISADI
Waulize akina Musyoka hapo Kenya PPP ya SHA kama iko Wazi kabisa kwa PublicMikataba ya PPP sio Siri nasikia hivyo