Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
- Thread starter
-
- #41
Ila jamaa unajua mambo mengi sana ya hii duniaWaulize akina Musyoka hapo Kenya PPP ya SHA kama iko Wazi kabisa kwa Public
Wewe msimamo wako ni Upi?Ungekuwa unaelewa mambo ya ubia kwa kusoma post yangu ungejua tu ninachoongea.
Uzuri zaidi hawa DPW offer yao wameiweka wazi kwenye IGA ni rahisi sana kuwatoa maana amna performance kwa maelezo ya phase ya IGA kwenye uwekezaji.
Hakuna walichofanya
Je, ni Ufisadi kweli?VIBARAKA WA RAIA FEKI MNASHIDA SANA NA AJENDA ZENU ZA KIFISADI PPP KWA TANZANIA NI UFISADI
Alikua mtu wa porojo tuHii ndio maana nzima ya maneno yanayoishi..
moja Ya watu wachache ambae akiwa
Anaongea mtataka aendelee kuongea tu haijaloshi anaongelea jambo
gani
Wewe ni Mtanzania Kweli?Alikua mtu wa porojo tu
Ndiyo,hayo ya ubia aliyafanya wapi na nani!?Wewe ni Mtanzania Kweli?
Hata kama hakuyafanya sisi tunayo nafasi ya kuyafanyaNdiyo,hayo ya ubia aliyafanya wapi na nani!?
Bwashee zamani tuliamini kila kitu tulichoambiwa na Nyerere Lakini Siku hizi Dunia ni KijijiIla jamaa unajua mambo mengi sana ya hii dunia
Ubia/uwekezaji/ubinafsishaji si ndiyo alivipinga!Hata kama hakuyafanya sisi tunayo nafasi ya kuyafanya
100% ni ufisadiJe, ni Ufisadi kweli?
Kwa mtu ambae anauelewa maswala ya mikataba anaelewa ninachoandika (be it ni elementary) kama uelewi labda hizo post sio za size yako.Wewe msimamo wako ni Upi?
Hapa Nina ku-discreditBwashee zamani tuliamini kila kitu tulichoambiwa na Nyerere Lakini Siku hizi Dunia ni Kijiji
Mtu anayedanganywa anakuwa Anapenda tu Kudanganywa danganywa ππ
PPP ndio ant corruption100% ni ufisadi
Tuache ilivyoKwa mtu ambae anauelewa maswala ya mikataba anaelewa ninachoandika (be it ni elementary) kama uelewi labda hizo post sio za size yako.
Corruption ni mtoto wa ufisadi PPP ni ufisadi ni ukwapuaji wa mali ya umma kwa mfumo wa state capture....PPP ndio ant corruption
Aelewi hata offer DPW waliyotoa kwenye IGA ya phase 1 ndio msingi wa mkataba100% ni ufisadi
Nimemsilkiliza lakini sijasikia Adani au Bakhresa wakitajwa hapoπView attachment 3169359
Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.
Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.
Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.
Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.
Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
π ndiyo nini ...ulicho andika...Hiyo dpw ni double trap wewe subiri kesi tu na tutalipishwa mamilioni ni njama baina ya mshitaki na mshitakiwa dhidi ta taifa letuAelewi hata offer DPW waliyotoa kwenye IGA ya phase 1 ndio msingi wa mkataba
Only wanasheria wa serikali ya Tanzania wanaweza kushindwa kuvunja mkataba unaoelekea kuwa wa ovyo kama huu wa DPW.
Adani ni mtoa rushwa anakataliwa Marekani huko watu wamemchunguza wakamuona muongo muongo mtoa rushwa tu.View attachment 3169359