Kumbe bongo ukiwa mbunifu mirungi ruksa

Kumbe bongo ukiwa mbunifu mirungi ruksa

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
HII KALI YA TAIFA:


Hiyo nyumba ipo wilayani Mkinga (Tanga) ambapo inaleta utata wa kidiplomasia. Nusu ya nyumba (chumba kimoja) ipo Kenya (upande aliosimama Naibu Waziri Dk Ashuta) na nusu nyingine (chumba kimoja) ipo Tanzania (aliposimama NW Dk Ndumbaro). Mwenye nyumba akitaka kula mirungi anakaa nje ya nyumba upande wa Kenya anatafuna na askari wa bongo hawamfanyi kitu.
globalpublishers-20190214-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom