Rostam ni balozi kivuli wa nchi za kiislamu..Iran, misri, India nk zenye maingiliano na Tanzania kupitia rasilimali km maji, gas, misitu nk au biashara..yuko hapa kwa niaba ya nchi hizo kudhibiti nchi isinufaike na rasilimali zake..mf. mradi wa maji ziwa victoria ulianza awamu ya 3 maji yakafika kahama na shinyanga..awamu ya 4 miaka 10 maji hayakupiga hatua hata mita 1 kuyaleta tabora..awamu ya 5 ndani ya miaka 5 maji yakafika nzega, tabora hadi igunga lengo ilikuwa yafike dodoma..ameingia mrithi wa awamu ya 5 miaka yake 5 maji hayajapiga hatua mbele hata mita 1...nadhani inaeleweka, hao kina awesso wanawekwa hizo nafas wakiwa na maelekezo ya ziada..ndio maana unasikia sasa kuna mradi wa maji toka chemba kuleta dodoma, si victoria tena..Rostam ana mafurushi ya pesa kupitia ccm miradi hii isiendelee..
Mf. wa pili, kuna gas hapa na ingetarajiwa ili kupunguza nakisi ya import na export gas itumike kwenye magari, viwandan, taasisi na majumbani kupunguza uagizaji wa mafuta/petrol, diesel nk na gas ya kupikia kwa kuweka bomba ya gas dar-mwanza..hao tunaonunua mafuta na gas kwao hawataki hilo lifanyike wanataka tuendelee na utumwa wa kununua mafuta na gas kutoka kwao..wanampa rostam mafurushi ya pesa ili kupitia ccm Tanzania iendelee kubaki na minyororo ya utumwa wa kununua mafuta na gas kwao..Uganda nchi ndogo wmeweza kuweka bomba kuja Tanga, Tanzania na ukubwa wake pamoja na kugundua gas kabla ya Uganda bado haina bomba la gas hata lifike dodoma tu...!
Sijawahi kuwaamini viongozi wa imani ya kiislamu kwamba wana nia njema na nchi yetu..! wapo kwa maslahi yao na ya wengine wenye imani km yao!