[emoji23] [emoji23] mwenye thread ajekusoma kwanza comment yakoLord eyes ndo nani? Ni yule jamaa wa buguruni anaetoboa watu macho?
Hebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita
chuki ni dhambi ww kijana...jiepushe na dhambi hyo mapemaHebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita
Nikweli alikua na akili zake,Ila alikua anamchanganyia kidogo kidogo bila ray c bila kujua,ili aweze kumwingiza huko mwenzie, all in all tuwaombeee tu waache KBSAliteseka kwa ujinga wake Wala uwezi mlaumu uyo kijana rayc wakati yuko na uyo kijana hakua mtoto alikua na akili zake za kujua baya na zuri... Na ukiangalia watu alokua akitoka nao kabla mfano mwisho nae ni watu wa aina hiyo so ndege wafananao huruka pamoja
me too dearSijaona point hapo..
[HASHTAG]#pumba[/HASHTAG]
Vijana wa sasa hata kujieleza kwa maandishi tena kwa kiswahili hawawezi,Mmmh sijaelewa kwa kweli