Kumbe Clouds Ndio Wanaomvimbisha Kichwa Lord Eyez

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
7,519
Reaction score
6,518
Hebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
CuFc7gcWcAA7Q8t.jpg.pagespeed.ce.PBDyocM__m.jpg

Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita
 
Sasa hapo ndio huwa ninamkumbuka Mzee wa Msoga Aliposema akili za kuambiwa changanya na zako. Ray C yeye alimkuta Lord Eyez anatumia hizo ngada lakini mpaka leo bado anadunda wala hajawahi kupelekwa kwenye hizo rehab kama yeye.

So Clouds hawana kosa wala nini kumpa show huyu kijana though ametuharibia sauti yetu ile ya thamani na kiuno bila mfupa kimepotea kabisa now .
 
Hebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
CuFc7gcWcAA7Q8t.jpg.pagespeed.ce.PBDyocM__m.jpg

Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita

Aliteseka kwa ujinga wake Wala uwezi mlaumu uyo kijana rayc wakati yuko na uyo kijana hakua mtoto alikua na akili zake za kujua baya na zuri... Na ukiangalia watu alokua akitoka nao kabla mfano mwisho nae ni watu wa aina hiyo so ndege wafananao huruka pamoja
 
chuki ni dhambi ww kijana...jiepushe na dhambi hyo mapema
 
Aliteseka kwa ujinga wake Wala uwezi mlaumu uyo kijana rayc wakati yuko na uyo kijana hakua mtoto alikua na akili zake za kujua baya na zuri... Na ukiangalia watu alokua akitoka nao kabla mfano mwisho nae ni watu wa aina hiyo so ndege wafananao huruka pamoja
Nikweli alikua na akili zake,Ila alikua anamchanganyia kidogo kidogo bila ray c bila kujua,ili aweze kumwingiza huko mwenzie, all in all tuwaombeee tu waache KBS
 
Ray C alishakiri na akaamua kuacha ngada kama bado anajihusisha na hayo mambo ni uamuzi wake,Mwacheni Lord Eyez nae amepitia magumu yake anahitaji kujaliwa pia!.
 
Lord Eyez ni mteja kama Ray C na wengine, kwenye vita ya madawa ya kulevya uki-deal na hawa watu ni kupoteza muda bure. Vyombo vyote vya dola duniani vinawataka big fishes sio hawa wachovu wa Magomeni.
 
Mmmh sijaelewa kwa kweli
Vijana wa sasa hata kujieleza kwa maandishi tena kwa kiswahili hawawezi,
msiba mkubwa sana,hili linathibitishwa na maandiko mengi ya vijana wenzetu hapa JF.Si wewe tu hujaelewa wengi hawajamuelewa huyu mwandishi,maana yeye ameandika utadhani watu wooote jana waliiskia hiyo INTERVIEW ya clouds na lord eyez
 
Back
Top Bottom