Kumbe Clouds Ndio Wanaomvimbisha Kichwa Lord Eyez

Kumbe Clouds Ndio Wanaomvimbisha Kichwa Lord Eyez

Acha wivu wa kike

Lord Eyez yuko Kazini nyau wewe
Aksante sana. ila ukweli utabaki katika kumbukumbu za wapenzi wa muziki kwamba bila ya ya Lord Eyez kumchanganyia hayo mavitu haramu binti wa watu asingefika hapo alipo.
 
Acheni utoto kwa hiyo lord eyes aache Kazi zake ajitokeze kumlilia ray c ambaye juzi katoroka rehab?
Wewe ungekuwa ni mtoto wangu ningekupeleka mbeya day secondary school.
Lord Eyez ni kibaka na mbwia ngada, nashangaa sana unavyomtetea au na wewe ni miongoni mwa watu wenye hulka ya kina Lord Eyez? Hivi mtu kama huyu pamoja na ukibaka wake bado unamtetea:
LORD EYEZ AMUIMBIA OMMY DIMPOZ NAE AMUANIKA LIVE KWENYE TWITTER!!! YAANI NI NOUMER...!!! | JESTINA GEORGE
 
kwahiyo ulitaka wamuache na yy ateseke au ulikuwa na maana gan
Waswahili husema ndege wafananao ndio warukao pamoja. Bila shaka nyote mnafanana, sishangai kuisikia kauli kama hizo kutoka kwenye fikra zako.
 
Lord Eyez bado tu anakutumia sembe?,daah maana kitambo Sana kwanza kubwia..
 
Back
Top Bottom