Kumbe Dar bila Billicanas na Mango garden inawezekana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Baada ya Club maarufu ya Bills kubomolewa na hivyo kutoweka katika jiji la Dar, ukumbi maarufu wa Mango garden pale kinondoni makao ya Twanga pepeta nao umepigwa chini. Yote kwa yote maisha ya mapapaa na mapedeshee yanaendelea kama kawaida!
 
Kwani bilicanas na mango garden ndo zilikuwa zinaendesha dar.?
 
Vyuma vimekaza siku hizi tunanywea na kusikiliza mziki home na kwenye gari tu
 
Hata wakibomoa na Breweries yenyewe, watu tutakunywa gongo. Starehe zipo nyingi
 
Hata bila magufuli/makonda Dar itabaki na itaendelea!
 
Duh Ndio Bomoa bomoa hiyo ya Nguvu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…