johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baada ya Club maarufu ya Bills kubomolewa na hivyo kutoweka katika jiji la Dar, ukumbi maarufu wa Mango garden pale kinondoni makao ya Twanga pepeta nao umepigwa chini. Yote kwa yote maisha ya mapapaa na mapedeshee yanaendelea kama kawaida!