Kumbe Dar ndivyo ilivyo, sikujua!!

Kumbe Dar ndivyo ilivyo, sikujua!!

Polen sna Pia karib Darisalama .Hii ni baadhi ya mifan ya wizi unaofanyka
Changa la macho:mara nyingi wizi huu unafanyka sehem yeny watu weng na mwzi anaweza kukuonesha bidhaa halis ila munapokua kweny mapatano ya bei ndipo mwenzake anakuja kwa nyuma na wanabadilshana .kwakua kuna watu weng ni ngumu sana kujua na kuwapata .
:Ndole au kwa jina jingne chadema' .vidole viwil vinatumika kuchomoa kama ni wallet au hela na hata simu kweny mifuko ya suruali au hata hand bag pia wahalifu wanaweza kukuchania na wembe hand bag ukiwa kwenye maeneo ya watu ima kweny kituo cha basi au kwenye pirka.
:Cutting 'hii maarufu sana uswahilini na ni wakat wa usik mnene .Mwizi anakata wavu wa dirisha kwa kutumia kifaa maalum cha kukatia haraf anakua na mti mrefu mbele ya mti anafunga kipande cha ndala au sponch ngumu na baada ya kugundua mal ilipo kwa kutumia toch hupaka gundi mbele ya mti na kugusisha kama ni sim ,pesa nk.
:Funga mtaa:hii kund la vibaka huvamia na kupora chochte.
:kabali yani kukabwa
:Bwagabwaga nk
Asante ni elimu nzuri sana hii ndg
 
umesema kweli kabisa unaweza kuzaliwa town na bado ukawa mshamba tu
.
umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja katokea huko dar kaja huku moro town na kama kawaida wajanja wa huku wakamliza kama kawaida


Safi sana hii. Watu wengi wanadhani kuzaliwa na kukulia Dar ni ujanja kumbe hamna lolote. Tofauti ni jina tu la jiji na mkoa.
 
Back
Top Bottom