Kumbe Dar ndivyo ilivyo, sikujua!!

Asante ni elimu nzuri sana hii ndg
 
Haha.. Kwa hasira ningeenda mtoni nikaioge hiyo sabuni mpaka iishe

Hivi unaingizwa town kiboya hivyo asee? Laki parefu eti
 
umesema kweli kabisa unaweza kuzaliwa town na bado ukawa mshamba tu
.
umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja katokea huko dar kaja huku moro town na kama kawaida wajanja wa huku wakamliza kama kawaida


Safi sana hii. Watu wengi wanadhani kuzaliwa na kukulia Dar ni ujanja kumbe hamna lolote. Tofauti ni jina tu la jiji na mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…