Kumbe dawa ya corona tunayotaka kununu kutoka Madagascar haijafanyiwa clinical trials? Ndio wanataka waanze kuifanyia utafiti.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Wakati tukiagiza dawa inayosemekana kutibu corona, habari ni kwamba rais wa nchi hiyo ndio kwanza ameagiza watafiti waifanyie uchunguzi (clinical trial) mtishamba huu. Nilisikia rais akisema anatuma ndege kwenda kuchukua mtishambahuu kumbe haujathibitishwa kitaalamu? Tuwe makini na afya za watu. Soma hapa:

Madagascar’s President Andry Rajoelina has announced that his country will be starting clinical trials of a herbal remedy which he claims can cure the coronavirus. The clinical trials for the artemisia-based herbal remedy Covid Organics are expected to start today (4 May 2020). Covid Organics is made from the artemisia plant – the source of an ingredient used in a malaria treatment – and other Malagasy plants.
 
Kwani nyungu tunazotumia sasa zimefanyiwa trials wapi?This is speacil country with unique presdar
 
Ndio maana kuna wanaopata matatizo ya kifua na wengine wanapofuka macho, hayo hayasemwi na mtu yeyote kuwa mwangalifu.
 
Back
Top Bottom