Kumbe Dickson Job ana miaka 22

Kumbe Dickson Job ana miaka 22

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni kwa mujibu wa wakala wake ambaye ni George Job
C1E059E9-BBAB-44DE-A7AF-9911B60F67AE.jpeg
 
Mwaka 2017 alicheza Afcon ya Under-17 kule Gabon akiwa na Serengeti Boys .......akiwa na wenzake Kibwana Shomari,Kabwili kama first goalkeeper na second goalkeeper akiwa ni Mshery,Kibabage,Kelvin Nashon na striker wao akiwa ni Abdul selemani Sopu
 
Na onyango naskia naye alicheza
 
Back
Top Bottom