Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii ni kwa mujibu wa wakala wake ambaye ni George Job
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wamemzidishia sana?Hivi si yupo kwenye timu ya under 14?Hii ni kwa mujibu wa wakala wake ambaye ni George JobView attachment 2273357
Kwa nnavyomfahamu anaweza kuwa kafika 22Hii ni kwa mujibu wa wakala wake ambaye ni George JobView attachment 2273357
Anafika 22 kama wamezidisha basi haizidi miaka 2Mbona wamemzidishia sana?Hivi si yupo kwenye timu ya under 14?
Na onyango naskia naye alichezaMwaka 2017 alicheza Afcon ya Under-17 kule Gabon akiwa na Serengeti Boys .......akiwa na wenzake Kibwana Shomari,Kabwili kama first goalkeeper na second goalkeeper akiwa ni Mshery,Kibabage,Kelvin Nashon na striker wao akiwa ni Abdul selemani Sopu