Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD).

Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
 
Mimi ningeondoka na kumuachia joho lake.
 
Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD).

Embu mwenye uelewa atupe tuition kido
Sidhani kama ni kweli! haya ni maoni ya msomi mmoja, ingawa ni tofauti kidogo
Does the honorary doctorate carry the same weight as the standard doctorate? Can it be used in theory for job requirements that require a PhD?
Not at all by any stretch of imagination!! A conventional PhD has content either in a form of course work and research or pure research which is a Thesis. Honorary degrees do not have any content or research. Therefore, they are not equivalent
 
Chama Pendwa kinapenda kumpongeza Dokta Samia kwa kutunukiwa udokta wa heshima na Dokta Kikwete.
Aidha chama kinawapongeza pia wanachama wake walioupiga mwingi kielimu hivi karibuni
Dk.Musukuma
Dk.Dotto
Dk.Mwigulu
Dk.Jaffo

[emoji3][emoji3][emoji3]

Endeleeni kupeana tu Udokta tu maana ndio kazi mnayoiweza, mmeshindwa kuhakikisha hata nchi inaweza kujitosheleza kwa vyoo vya kujisitiri watu wake miaka 60 baada ya uhuru[emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema Dkt. Tulia na Dkt. Samia kielimu sasa wote wapo sawa? Hata wakiwekwa sehemu moja wajadili mambo watakuwa sawa?
Sa100 ni dokta?
 
Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD).

Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
Hayo ni kwa mujibu wa hao vilaza waliogawiwa hizo phd za heshima za uchumi huku watu wakiangaika bila umeme, maji, mbolea, chakula na tozo kwenye kila kitu.
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema Dkt. Tulia na Dkt. Samia kielimu sasa wote wapo sawa? Hata wakiwekwa sehemu moja wajadili mambo watakuwa sawa?
Dkt Joseph Kasheku Msukuma
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema Dkt. Tulia na Dkt. Samia kielimu sasa wote wapo sawa? Hata wakiwekwa sehemu moja wajadili mambo watakuwa sawa?
Dunia ya sassa sio ya mijadala kikubwa umeleta impact gani.......
.una elimu kubwa unaenda kuajiriwa na darasa la 7D hapo mwenye impact kubwa ni huyo la saba na sio wewe mwenye masters of kungfu
 
Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD).

Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
Hapo anawashindanisha Bashiru na Samia
 
Back
Top Bottom