Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

Kumbe Dotto Magari alikuwa Teja?

Mbona nasikiaga hata hiyo biashara sio ya kwake ye ni mpiga debe tu yaani kikipatikana chochote kitu ndo anagaiwa na mwenye magari yake.

#msinisutejamani
Mimi nafikiri kikubwa haibi kwa mtu na anapata iliyo haki yake mpaka anatosheka basi tumshukuru Mungu ndi fursa aliyo jaaliwa na Mungu.
 
Mbona ipo inafahamika kabisa biashara ni za yule shekhe issa tambuu yeye dotto ni dalali ana percent zake kwenye kila gari anayouza pia hizo kelele zake ndo zimemsaidia kugrow ig account yake na kupata ma-endorsement kutoka makampuni mbalimbali. Tumwache aende tu kwa maono yangu njia zake anazotumia kutengeneza pesa sio wote tunaweza...

Nawasilisha..
Mbona nasikiaga hata hiyo biashara sio ya kwake ye ni mpiga debe tu yaani kikipatikana chochote kitu ndo anagaiwa na mwenye magari yake.

#msinisutejamani
 
Back
Top Bottom