Mbona ipo inafahamika kabisa biashara ni za yule shekhe issa tambuu yeye dotto ni dalali ana percent zake kwenye kila gari anayouza pia hizo kelele zake ndo zimemsaidia kugrow ig account yake na kupata ma-endorsement kutoka makampuni mbalimbali. Tumwache aende tu kwa maono yangu njia zake anazotumia kutengeneza pesa sio wote tunaweza...