Kumbe DP World wako mabara yote; Tanzania kuna nini?

Tatizo kila anayemiliki smart phone anakua ni mtaalamu wa kila kitu,

Unakuta kijana wa darasa la 7 anataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake,akiwa na mawazo tofauti,utasikia sijui huyo ni msaliti!
 
Huko kwenye mabara yote na wao Wana mkataba wao wa kimangungo Kama huu wa kwetu?
 
Kwahiyo wewe umeifamu kwa kusema ndo unaipgia chapua hivi umesikia kuna anayepimga ambaye amesema DPW ni kampuni ya ubabaishaji kwanini usijipe muda kuelewa sababu za kupinga. Mimi najuwa hawapingi uwekesaji wa DPW kama unvopotosha wanapiga vipengele vilivyogo katka IGA kwa kuwa hujaona huwezijuwa na kusema
 
Alafu waislam mnazngua hapa watu hawalalamiki kuhusu kanzu kujaa bandarini hiyo sio ishu ni vipengele vya mkataba je vina maslai na Tanganyika, wewe bibi acha maswala ya kikuda.
.
wakati wakina mzee johnh, peter, na matayo wakipelekwa shule nyie mlikimbilia madrasa sasa wanaanza kugawana uongozi mnaropoka ujinga nyie subiri ahera mtapewa uongozi msijali hakuna anae waonea
 
ndoomaana tunasema ninyi mna udini ndoo unawasumbua. ila kwataarifa yenu hao waraabu wanakuja kama hamtaki kufeni
 
Ndiyo wapo sehemu nyingi tu duniani lakini mkataba wa kijuha,kishenzi,kipumbavu na kimangungo ni huu pekee wa bandari ya dar unaopigiwa kampeni na wahuni wasioitakia mema Tanzania
 
Reactions: Auz
Naam, hayo ni yangu na yanajionesha shahiri shahiri. Hujaona Mapadri na Maaskofu walivyokomaa?

Mkataba upi unauongelea "huu wa Tanzania"? Ambao unataka kulinganisha nayo ni ipi?

Unajitoa ufahamu? Kwani tunajadili mkataba gani? Haya, tunajadili mkataba wa bandari kati ya Tanganyika na DP World. Nataka kuulinganisha huo mkataba walioingia Tanganyika na DP World na mikataba abayo DP World imeingia na nchi nyingine Dunianai kama hiyo mikataba ina matongotongo kama wa Tanganyika.
 
Hujawaona wakuu wa kanisa kwenye mkutano wa siasa leo? Au kwa "mdini" unamaanisha nini?

Wale wanajadili siasa sio Dini dada huoni tofauti,Naomba sana Mungu usipate nafasi ya maamuzi Popote pale maana wewe ni mbaguzi sana
 
Unaandika nini? DP World ni kitu gani? Zilikuwepo kampuni ka German East Africa Company na Emperial British East Africa Company na zote hizi zilikuwa kampuni za kikoloni, sasa hii DPW ina tofauti gani na GEAC na EBEAC kama si kampuni la kikoloni kwa staili mpya?
 
Reactions: Auz
Hatuipingi kampuni ya DP world lakini tunapinga aina ya mkataba tulioingia nao wa staili ya Sultan Mangungo!! Tunataka mkataba urekabishwe kwa kuzingatia maslahi ya Tanzania. Mkataba gani usiotaja ukomo? Unaozuia kuuvunja hata kama ukiukwaji mkubwa ukitokea? Hautaji sisi tutapata nini? Hautaji mwekezaji atawekeza kiasi gani?
 
Reactions: Auz
Kwani watanzania wanakataa DPW? Wanakataa mkataba uliojaa ubaya
 
ndio maana mwabukusi amewaita ninyi wapumbavu. ni kwasababu kwa kelele zoote hizi, bado tu mnaonyesha hamna akili. HAKUNA ANAYEPINGA DP WORLD kama wakija na mkataba mzuri, kinachopingwa ni vipengele kwenye mkataba, hapingwi mwarabu au mwislam au yeyote, unapingwa mkataba. DP WORLD wajaribu kujifanay wajinga siku ipite, waje na terms kwamba tunabadilisha terms za mkataba, waone tutakavyowafurahia. tunawahitaji ila sio kwa vipengele vya mkataba kama ule. umeelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…