Nimeingia playok, nikaset ugumu wa dalmax 100% Tanzanian rules, nikawa na smartphone mbili, nlikuwa nawaunga ninaocheza nao Playok na dalmax, nilikutana na mtu nkapigwa suti goli 3-0 mfululizo, na mtu mwenye point 1300 tu, nilichukia kweli