Kumbe Fatma Karume mkali hivi! Amchenjia mtangazaji wa Clouds FM live redioni

Rejea Mkasi na Salama, Shangazi aliongea vizuri tu kuhusu elimu yake. Hiko Kinge anaongea kama mzaliwa wa huko.
 
Hawa Watangazaji wa hiki pindi cha michezo cha Clounds leo wameukwaa mchongoma. Hawana hata uwezo wa kuchambua sheria wao wanakurupuka na maswali ya kijinga, hatimaye wamepelekwa shule. Aunt yupo calm anatoe elimu kwa wajinga.
Amenyooshwa
 
Ataacha kuwa na hasira mtu kafika menopause kazeeka hana mtoto wala ndoa...? Anaishi ktk stress sana yule mwanamke.... Prisca kamuuliza BILASHAKA utakua umepata hati ya... Neno bilashaka linakutaka unayeulizwa ujibu Ndiyo au Hapana...
Kaolewa na ana watoto mkuu.
Sema huwa ana hasira hasira sana hata kwa vitu vya kuclarify tu.
 
hajamtuhumu bali kamwambia kuwa ni muongo,amewafundisha waandishi wa habari wajifunze kuuliza maswali
 
Waandishi na wana habar wengi wa bongo uwezo wao kiakili ni mdogo sana ..upo chini mnooooo..mi siwezagi kusikiliza vipindi vya redioni..yan makosa ya kiufundi na kiutalaam kwenye chambuzi zao ni mengi mnooo mpaka unaona aibu kwa niaba yan..
Halaf sasa wanapenda sana kujitia ujuaji huku hawana utayar ws kujifunza...ndio maana wanaishia kufakamia mambo nje ya uwezo wao.

Very poor
 
Ataacha kuwa na hasira mtu kafika menopause kazeeka hana mtoto wala ndoa...? Anaishi ktk stress sana yule mwanamke.... Prisca kamuuliza BILASHAKA utakua umepata hati ya... Neno bilashaka linakutaka unayeulizwa ujibu Ndiyo au Hapana...
Neno bila shaka ni assuption , ndicho alichokikataa fatma.
 
Unaongea kitu usichokijua. Unaijua accent ya Newcastle wewe? Unaijua Geordie accent? Huijui ishia kusema ana lafudhi nzuri ila hana Geordie,Scouser wala Posh accent.
 
Shangazi yupo vizuri hata lafudhi ya kiswahili pia , nadhani kwa sababu ya kuishi zanzibar.
She is smart too , huwezinkumwekea maneno mdomoni halafu ukategemea aendelee kuongea
 
Changu cha Manchester United [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji137] Watanganyika [emoji1241] mna mambo mengi Sana [emoji23][emoji23] stress free zone! Lengo la lugha ni mawasiliano tu lafudhi ni kachumbali tu kwenye pilau,kuna vitoto vya kihindi viliniambi mimi siyo mtanzania,nilivyotaka kujua kwanini, siyo, wakasema lafudhi yangu ni Kama ya huko, Wakati never been there before [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Menopause inamsumbua na kuona watoto wa marais wenzake wanakula bata, yeye anazeeka anazunguka juani tu...
 
Hawa Watangazaji wa oya oya wakati mwingine ujiaibisha sana.

Na ndiyo wamejaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…