Kumbe Fid Q ana watoto watatu wa mama tofauti??

Kumbe Fid Q ana watoto watatu wa mama tofauti??

Leo na ni muda huu yupo Clouds Fm kwenye XXL anafanya mahojiano,nimeshangaa kumsikia jamaa anasema "Ujue mimi nina watoto watatu wa mama tofauti".

Kumbe wenye watoto wengi na kila mtoto na mama yake tupo wengi aisee,huo ndio ulijali wenyewe.wasanii kuna ney wa mitego,dully saiks na Fid Q, safi sana Fid Q

We utakuwa msukuma
 
Dah, na mistari na punchline kali kama zile kumbe nae analelewa kama wanavyolelewa watoto wake?? Dah!
Umeingia King bila aibu.
Inasikitisha.
So nawe ukikaa na wanao kitaa utasema hivyo,ukiulizwa ushahidi utasema nimepata info JF!!
 
Back
Top Bottom