Kumbe Gerson Msigwa ana undugu na Nchimbi ndiyomaana

Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.

Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.

Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Mnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.
 
Amezira nini? Kazi za serikali? Hapo si anapigwa tu chini, Msigwa mtu mdogo sana mpiga debe tu wa serikali? Hao wako wengi. Muda tuliopo hakuna atakayebembelezwa watanzania waliosoma na wenye uwezo ni wengi sana!
 
kwani kuwa kabila tofauti kunaondoa undugu, mie nna ndugu wa makabila tofauti na n ndugu Zang wa damu.
 
Mnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.
Kama msigwa ni mpangwa basi kazi ipo
 
Amezira nini? Kazi za serikali? Hapo si anapigwa tu chini, Msigwa mtu mdogo sana mpiga debe tu wa serikali? Hao wako wengi. Muda tuliopo hakuna atakayebembelezwa watanzania waliosoma na wenye uwezo ni wengi sana!
Sasa mnamtekaje ndugu yake wakati yeye anawatetea kila siku
 
Mnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.
Fuatilia mambo kwa kina
 
Back
Top Bottom