Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Kapotea nlitegemea angetoa kauli kutokana na mgomo wa madereva ila kakausha.Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Amezira😂Kapotea nlitegemea angetoa kauli kutokana na mgomo wa madereva ila kakausha.
HahahaaGENGE LA CCM HALINA UNDUGU
Mnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Amezira nini? Kazi za serikali? Hapo si anapigwa tu chini, Msigwa mtu mdogo sana mpiga debe tu wa serikali? Hao wako wengi. Muda tuliopo hakuna atakayebembelezwa watanzania waliosoma na wenye uwezo ni wengi sana!Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
kwani kuwa kabila tofauti kunaondoa undugu, mie nna ndugu wa makabila tofauti na n ndugu Zang wa damu.Mnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.
Kama msigwa ni mpangwa basi kazi ipoMnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.
Sasa mnamtekaje ndugu yake wakati yeye anawatetea kila sikuAmezira nini? Kazi za serikali? Hapo si anapigwa tu chini, Msigwa mtu mdogo sana mpiga debe tu wa serikali? Hao wako wengi. Muda tuliopo hakuna atakayebembelezwa watanzania waliosoma na wenye uwezo ni wengi sana!
Fuatilia mambo kwa kinaMnyasa na Mpangwa wapi na wapi?Msigwa kaanzia kazi redio Maria wakati makao makuu ya redio hiyo yalikuwa songea jimboni.Nchimbi wakati huo alikuwa na mishe zake za kisiasa labda useme marafiki lkn udugu haupo.