Ukiona huelewi ujue uko eneo sio sahihi. Hata mie sijaelewa. Nimetoka.Hii lugha hata magufuli hawezi kuielewa
[emoji23][emoji23][emoji23] Asante kwa kunirahisishia maaana hata mm mwenyew nimepata tabu sanaglass amo,
Ngoja nijaribu kuielezea story yako japo siifahamu. Ndugu wana jf pengine story iko hivi:
Uwoya alikuwa anaandaa kipindi fulani redioni au kwenye TV.
Akaamua kutafuta kiki hivyo. Akaigiza kama anafunga ndoa na mbwembwe kibao ikiwemo ya mama mmoja kuoga maziwa kwenye hiyo harusi ya Uwoya (Uwoya = Irene Uwoya)
Sina kazi ya kufanya asubui hii nimeona ngoja nipoteze muda kwenye huu upuuzi.
HATA HIVYO NAWASALIMIA TANRODS , NAWAPONGEZA KUTUHARIBIA BARABARA SEGEREA HALAFU WAMEINGIA MITINI.
Nice Sunday TANROADS
Kumbe, dah. Kuna watu wana muda wa kufuatilia hawa watu.glass amo,