Kumbe haikuwa ndoa. Uwoya amejua kucheza na akili za watanzania

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
Yaani kumbe mbwembwe zote zile mama wa kuogea maziwa alikuwa anataka kuzindua kipindi, dooooh!!!

Mastaa wa bongo kazi ipo.
 
glass amo,

Ngoja nijaribu kuielezea story yako japo siifahamu. Ndugu wana jf pengine story iko hivi:

Uwoya alikuwa anaandaa kipindi fulani redioni au kwenye TV.

Akaamua kutafuta kiki hivyo. Akaigiza kama anafunga ndoa na mbwembwe kibao ikiwemo ya mama mmoja kuoga maziwa kwenye hiyo harusi ya Uwoya (Uwoya = Irene Uwoya)

Sina kazi ya kufanya asubui hii nimeona ngoja nipoteze muda kwenye huu upuuzi.

HATA HIVYO NAWASALIMIA TANRODS , NAWAPONGEZA KUTUHARIBIA BARABARA SEGEREA HALAFU WAMEINGIA MITINI.

Nice Sunday TANROADS
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Asante kwa kunirahisishia maaana hata mm mwenyew nimepata tabu sana
 
glass amo,

Ngoja nijaribu kuielezea story yako japo siifahamu. Ndugu wana jf pengine story iko hivi:

Uwoya alikuwa anaandaa kipindi fulani redioni au kwenye TV.

Akaamua kutafuta kiki hivyo. Akaigiza kama anafunga ndoa na mbwembwe kibao ikiwemo ya mama mmoja kuoga maziwa kwenye hiyo harusi ya Uwoya (Uwoya = Irene Uwoya)

Sina kazi ya kufanya asubui hii nimeona ngoja nipoteze muda kwenye huu upuuzi.

HATA HIVYO NAWASALIMIA TANRODS , NAWAPONGEZA KUTUHARIBIA BARABARA SEGEREA HALAFU WAMEINGIA MITINI.

Nice Sunday TANROADS
Kumbe, dah. Kuna watu wana muda wa kufuatilia hawa watu.
 
Screenshot_20191027-100444.jpeg
 
Back
Top Bottom