Kumbe hakuna chama kinaitwa CCM, CHADEMA, CUF, ACT Wazalendo wala NCCR Mageuzi?

Mambo ya kijinga hayo kwa nini kanuni isiruhusu mgombea aliyekosea aenda ofisini arekebishe kabla orodha rasmi ya
ya wagombea haijatolewa
ile sio ofisi ya tuition .Ndio maana mtu anapewa fomu akajazie nyumbani na nakaa nayp siku zaidi ya moja.Sasa kama kichwa chake kibovu atajijua
 
Basi hata tume ya uchaguzi imeshatangaza wagombea wengi batili. Rejea matangazo yake yote kipindi cha uchaguzi kwa kutumia majina ya vyama hivyo.
 
Je walioondolewa kwa kuandika CHADEMA wameonewa au hawajaonewa ?
 
Je walioondolewa kwa kuandika CHADEMA wameonewa au hawajaonewa ?
Sijaiona fomu ya ugombea na kanuni zilisemaje ujaze kifupi au kirefu
mfano ukiomba kazi huwa wanataka majina yote uandike kirefu.Tuwekee fomu na kanuni hapa tuamue walifanya sawa au walikosea
 
ile sio ofisi ya tuition .Ndio maana mtu anapewa fomu akajazie nyumbani na nakaa nayp siku zaidi ya moja.Sasa kama kichwa chake kibovu atajijua
Lakini bado kuna nafasi ya kutunga kanuni rahisi na rafiki zaidi, mfano fomu ikiwa imegongwa muhuri wa chama inaweza kuondoa utata wa kukosea majina, labda kama kanuni zinetungwa kwa lebgo maalum
 
Yajayo Yajayo yanafurahisha je upo tayari?
 
Yaani ccm ndio inaongoza kwa kuweka wagombea vilaza nchi nzima kwenye selikari za mitaa,maajabu yake mpaka wagombea wenye degree wa upinzani wameshindwa kujaza form.Maajabu hayataisha mpaka hawafu mwenye nguvu apumzishwe
 
JIWE ON FLEEK, HATAKI UPINZANI, thats all
 
Yaani ccm ndio inaongoza kwa kuweka wagombea vilaza nchi nzima kwenye selikari za mitaa,maajabu yake mpaka wagombea wenye degree wa upinzani wameshindwa kujaza form.Maajabu hayataisha mpaka hawafu mwenye nguvu apumzishwe
UNAWAWASHANGAA NINI HAO WENYE DIGRII WA UPINZANI KUSHINDWA KUJAZA FOMU MBONA VINGI TU VINAWASHINDA IKIWEMO KUSHINDWA KUPATA AJIRA
 
 
Kiongozi mtarajiwa wa malaika ana hofu ya upinzani wakati anafanya poa
 
Hii ni fomu ya uchaguzi mkuu wa 2015.

Kama unavyoona hapo, jina la chama limeandikwa na kutambulika kwa kifupi.

Nadhani itoshe kusema tu sisi tunajua na wao wanajua kuwa kuandika chama kwa kirefu au kifupi, ni sahihi, ila WAMEAMUA KUFANYA UHUNI.

Hivi wanaogopa nini kama wanaleta maendeleo kwa wananchi?

Wanaogopa nini kushindana kama wanapendwa kwa namna wanavyojinasibu?

Hakuna lksilo na mwanzo likakosa kuwa na mwisho. Mungu wa kwetu wote
 
Mkubwa Akivuliwa Nguo Anachutama
Kwahili Naona Ujanjaujanja Mwingi Haa πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…
 
UNAWAWASHANGAA NINI HAO WENYE DIGRII WA UPINZANI KUSHINDWA KUJAZA FOMU MBONA VINGI TU VINAWASHINDA IKIWEMO KUSHINDWA KUPATA AJIRA
Wewe mbona umekaa hapo unakula kodi zetu na tumbo limebana mpaka zipu. Unakazi ya kumjambia mkeo tuu
 
Taarifa!

Viongozi na wanachama wote wa ccm kwasasa wanapitia wakati mgumu Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha mwanaccm yeyote uliyekaribu nae umsaidie kumfikisha kwa wataalamu wa afya za akili, vinginevyo taifa zima litaangamia.

Ahsante!
 
Naona malisa mchaga amekuja kuhanikiza chama cha kwao kwenye mbege

State agent
Nyinyi watoto msiojua tulifikaje hapa pamoja na kuwa na Makabila zaidi ya 120 ndio mnaofanya CCM inaonekana kama imepoteza dira,kumbe ni njaa ya wachache wasiojua hata msingi wa kuanzishwa kwa TAA ambayo ilibadilika na kuwa TANU ili yopelekea kuungana kwa ASP na TANU na kuzaa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…