Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #21
Eh yamekuwa hayo?Kuendelea kuchangia uzi kama huu ni kujikosea mwenyewe na kupoteza muda.
Sawa mkuu, umeshinda na mmefanya jambo jema sana kuwazuia wapinzani kwa miaka 4 wasifanye mikutano. Hongereni sana hakika. Mtapata thawabu duniani na mbinguni.