Kumbe halikuwa zuio la mikutano ya kisiasa bali ni zuio la mashindano ya kisiasa

Kuendelea kuchangia uzi kama huu ni kujikosea mwenyewe na kupoteza muda.

Sawa mkuu, umeshinda na mmefanya jambo jema sana kuwazuia wapinzani kwa miaka 4 wasifanye mikutano. Hongereni sana hakika. Mtapata thawabu duniani na mbinguni.
Eh yamekuwa hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…