Kumbe hata hawa jamaa wanafaa

Kumbe hata hawa jamaa wanafaa

CPU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3,858
Reaction score
687
gggg.jpg

Nadhani hawa washikaji ni wazuri zaidi ya Biadamu ktk vita.
 
Tungempata mmoja kureplace huu utawala wa Chama Chetu maana hawacheki na mtu hawa
 
Mwizi piga Risasi ya kichwa.
Mwongo piga Risasi ya kichwa

Sioni Chenge,Lowassa,Karamagi,Kikwete, Mkapa na Rotam Aziz w akibaki na vichwa
 
mmmh! Sioni vizuri ngoja nichukue miwani.

Tafadhali Rev Masa tunaomba msaada wako wa kuikuza hii picha, ikiwezekana utupe na darasa kabisa ili tusikusumbue baadae.
Msg hii pia ifike kwa madada wenye mvuto zaidi hapa JF sambamba na Hunisyo

afrodenzi aka AD
Miss Judith
shosti
Pretty
Rose1980
Nilham
Lizzy
Maty

Rutashubanyuma naamini kwa uhakika zaidi anajua. Mfikishie ujumbe
 
Mwizi piga Risasi ya kichwa.
Mwongo piga Risasi ya kichwa

Sioni Chenge,Lowassa,Karamagi,Kikwete, Mkapa na Rotam Aziz w akibaki na vichwa

Nadhani hao jamaa wangekuwa wanatumikishwa kazi za ndani ktk nyumba ya msela mwenye silaha hapo juu
 
Dah sasa itakuwaje tena usalama huko porini hii pure studio picture
 
dah! Wakipewa nafac hawa yan hawana masihara yan hata jesh halipo hv kwa jins watakavyo kuwa wana2ongoza
 
mbona mna jina langu humu na undani wa point yako sijaifaham jamani??
Tafadhali Rev Masa tunaomba msaada wako wa kuikuza hii picha, ikiwezekana utupe na darasa kabisa ili tusikusumbue baadae.
Msg hii pia ifike kwa madada wenye mvuto zaidi hapa JF sambamba na Hunisyo

afrodenzi aka AD
Miss Judith
shosti
Pretty
Rose1980
Nilham
Lizzy
Maty

Rutashubanyuma naamini kwa uhakika zaidi anajua. Mfikishie ujumbe
 
Tafadhali Rev Masa tunaomba msaada wako wa kuikuza hii picha, ikiwezekana utupe na darasa kabisa ili tusikusumbue baadae.
Msg hii pia ifike kwa madada wenye mvuto zaidi hapa JF sambamba na Hunisyo

afrodenzi aka AD
Miss Judith
shosti
Pretty
Rose1980
Nilham
Lizzy
Maty

Rutashubanyuma naamini kwa uhakika zaidi anajua. Mfikishie ujumbe

Naona PM ameshakusaidia!
 
Back
Top Bottom