Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Mar 4, 2011 #41 Mayassa said: Huyu ni dada yake na Richard mshindi wa big brother, hapo ilikuwa ni siku ya harusi yake, na huyo anemlisha (wanaelishana) keki ni binti yake wa kwanza. Ukiangalia vizuri hapo pembeni utaona kuna mtu kavaa suti (ndio mume), na hapo ni Marekani. Click to expand... Kwa nini wanalishana kwa staili hiyo??
Mayassa said: Huyu ni dada yake na Richard mshindi wa big brother, hapo ilikuwa ni siku ya harusi yake, na huyo anemlisha (wanaelishana) keki ni binti yake wa kwanza. Ukiangalia vizuri hapo pembeni utaona kuna mtu kavaa suti (ndio mume), na hapo ni Marekani. Click to expand... Kwa nini wanalishana kwa staili hiyo??
Mohammed Hamad JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 3,988 Reaction score 1,308 Mar 4, 2011 Thread starter #42 Katavi said: Kwa nini wanalishana kwa staili hiyo?? Click to expand... Nadhani wanayao zaidi ya kulishana keki.......
Katavi said: Kwa nini wanalishana kwa staili hiyo?? Click to expand... Nadhani wanayao zaidi ya kulishana keki.......
Mhache JF-Expert Member Joined Jun 20, 2008 Posts 345 Reaction score 25 Mar 4, 2011 #43 Hivyo ni vijimambo. tanzania sasa inaelekea kuzimu. Sasa ni wakati wa Sodoma na Gomora. inabidi yafanyike maombi na kila mtu kwa imani yake.
Hivyo ni vijimambo. tanzania sasa inaelekea kuzimu. Sasa ni wakati wa Sodoma na Gomora. inabidi yafanyike maombi na kila mtu kwa imani yake.
B Buke Senior Member Joined Feb 15, 2011 Posts 105 Reaction score 16 Mar 4, 2011 #44 Mambo ya kisasa (sayansi na teknolojia)!