Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Huyu ni dada yake na Richard mshindi wa big brother, hapo ilikuwa ni siku ya harusi yake, na huyo anemlisha (wanaelishana) keki ni binti yake wa kwanza. Ukiangalia vizuri hapo pembeni utaona kuna mtu kavaa suti (ndio mume), na hapo ni Marekani.
Kwa nini wanalishana kwa staili hiyo??