Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

Kumbe hata mama yake Zitto ni kilema?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Sikufahamu kwalo!

"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"

Mdau.

Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
 
Naomba nisieleweke vibaya na hili halimhusu tu Zito.

Watoto wengi waliozaliwa na kulelewa na wazazi wenye different abilities and not disability....

Kwa experience niliyonayo wanakuwaga na mdomo saana. Ni wale nikanyage uone. Wapo bitter muda wote.

Sio kwasababu wamezaliwa hivyo..hapana ni adaptation ya mazingira ya manyanyaso wanayopitia kwenye jamii toka wakiwa wadogo...hii pia ipo kwa wazazi wao.

Ukiwafanyia jambo hata kama haujui wana different abilities wao watawaka kwa kukuambia unafanya hivi kwasababu mimi au mama yangu ni kilema eeh.

Hivyo muda wote wapo standby kulipuka na wanamdomo saana.
 
Kama huyu alieleta hii mada pia.
 
Right, hata kule tweeter ukimkanyaga kidogo tu unakula block.
 
kwamba zitto kama amempenda mama yake anapaswa akazikwe naye?wabongo siwawezi
 
Sikufahamu kwalo!

"...huyu Zitto hapaswi kabisa kucheka kilema cha mtu ukizingatia hata mama yake ni kilema tena cha kuchovya!"

Mdau.

Ndugu zangu tuwiwe na kiasi huku tukikumbuka hujafa hujaumbika.
Ni kwel hujafa hujaumbika! Lkn Lisu wamemsema san hata humu mara kiwete majina mengi tu, tena hawa hawa wanaotoa milio humu juu ya zito!!!
 
Tumefika kote huku kwa sababu ya Zitto?
Tufanye yaishe, tumwacheni zitto na ushamba wake
Alipokuwa anafikilia kuongea ule ujinga alijipanga kupokea kila kitu so, acha achapwe mpaka ajue pesa anayotafuta kwa kila njia hutokea puani siku inapofika.
 
Back
Top Bottom